Ijumaa, 19 Agosti 2016

MAMA MJAMZITO

Mambo yakuzingatia wakati wa uja uzito nimengi sana nauki yafuata yata kifanya kiumbe kilichopo tumboni kukuwa vyema na kuzariwa kikiwa na afya njema
  Kwanza nilazima kuhuzuria kituo cha afya ilikuputa taarifa juu ya maendeleo ya mama na mtoto wataaramu wa afya watakupa ushauri kutokana na maendeleo yako
Endapo uta ugua usi tumie dawa ambazo uja elekezwa na mtaalamu wa afya
Kufanya mazoezi nivyema zaidi kumbuka mama mjazito ana takiwa kupata muda wa kupumzika
Tambua unapo muhudumia mama mjazito uwo napo mabadiliko nivyema uka wasiliana na wahudumu wa afya ili kupata Ushauri
Kumbuka kuhuzuria kriniki kila tarehe uliyo pangiwa
Chakula kizuri kita Kufanya uwe na afya nzuri kuanzia wewe mpaka mtoto wako aliye tumboni nivyema kupata vyakula kama vire mboga mboga za majani, matunda samaki na vyakula vyote vyenye protini
Kutumia vilevi wakati wa uja uzito sivyema kwani nihatari kwa afya ya mama na mtoto
Wataaramu wa afya watakupa ushauri kutokana na maendeleo yako Endapo uta ugua usi tumie dawa ambazo uja elekezwa na mtaalamu wa afya Kufanya mazoezi nivyema zaidi kumbuka mama mjazito ana takiwa kupata muda wa kupumzika Tambua unapo muhudumia mama mjazito uwo napo mabadiliko usi kaekimya